Osman/Ottoman Empire

Osman/Ottoman Empire

Nani kakuambia ottoman ni tamthilia 😁😁 unafikiri bongo movie hiyo, au indian movie!!😁😁 hii kitu ilishawai kutokea
Sio tamthilia ni nini?

Kama ilitokea na una uhakika Kwanini upoteze muda kufatilia vitu vyenye uko na uhakika navyo
 
Mtoto wa kiume na tamthilia, si dalili za kuolewa hizo.
 
Sawa ni tamthilia iliyowahi kutokea, wakati mimi na wewe hatukuzaliwa, umeridhika sio!! Halafu acha kunipangia cha kuangalia!

Kwahiyo wote wanaofuatilia Ottoman empire wana dalili ya kuolewa!! Hivi Unaijua ottoman wewe?? Unaongea kufurahisha genge tu co!!😁 au ulikua hujui Ertugrul/Ottoman imewasilimisha weng!! Endelea kuumia, wewe na wenzio mliokwazika 😁😁
 
Kuwa makini mkuu, usijeolewa kiongozi. Hivyo ni vitu vya kushabikiwa na wanawake.
 
Sawa ni tamthilia iliyowahi kutokea, wakati mimi na wewe hatukuzaliwa, umeridhika sio!! Halafu acha kunipangia cha kuangalia!

Kwahiyo wote wanaofuatilia Ottoman empire wana dalili ya kuolewa!! Hivi Unaijua ottoman wewe?? Unaongea kufurahisha genge tu co!!😁 au ulikua hujui Ertugrul/Ottoman imewasilimisha weng!! Endelea kuumia, wewe na wenzio mliokwazika 😁😁
Duh we mtu wa ajabu sana. Hiyo ottoman empire wengine tuliisoma secondary we ulikuwa wapi?

Acha kuangalia vitu vya wanawake
 
Na ndio hawa hawa wanaoangalia bondita, caesar na hayo matakataka ya kihindi&kituruki, mamuv yenyewe yamejawa action mbovu, hiv huwa mnapata wapi nguvu kufuatilia hayo madude?

Kuweni wazalendo tazameni Bongomuvi kwa maendelel na manufaa ya nchi yenu
 
Hilo halina utofauti na hawa.
FB_IMG_1656939858257.jpg
 
Na ndio hawa hawa wanaoangalia bondita, caesar na hayo matakataka ya kihindi&kituruki, mamuv yenyewe yamejawa action mbovu, hiv huwa mnapata wapi nguvu kufuatilia hayo madude?

Kuweni wazalendo tazameni Bongomuvi kwa maendelel na manufaa ya nchi yenu
Sahihi kabisaaa Mkuu.

Hizo tamthilia zimejaa upuuzi mwingi Kama ushoga,chuki dhidi ya watu wa imani tofauti na uchafu mwingine mwingi tuu
 
Baadhi ya wakristo hamkupendezewa na thread yangu poleni sana 😁 tambueni kuwa inafuatiliwa pia na wasio waislamu kama hamjui

Halafu acheni kufananisha ertugrul/ottoman na hizo bongo movie zenu/nigerian movie na mimuvi yenu ya kihindi n.k.
 
Sahihi kabisaaa Mkuu.

Hizo tamthilia zimejaa upuuzi mwingi Kama ushoga,chuki dhidi ya watu wa imani tofauti na uchafu mwingine mwingi tuu

Hapo kwenye ushoga unaweza kuweka clip kama ushahidi?

Hapo kwenye chuki, hebu fafanua vizuri chuki zipi hizo?

Kwenye uchafu mwingi, uchafu upi huo? Kwanini unaongea vitu bila uhakika!!

Hapo nazungumzia Ertugrul and Osman, wanaume wa shoka na wapambanaji. Na sio bongo movie, Indian movie, Nigerian movie n.k

Nasubiri majibu!
 
Series za kituruk zinakubalika sana kwa sababu hazina mambo yaajabu ajabu kama za west,unaweza ukaangalia na familia sio Hollywood siku hizi imekua hovyo tu!
 
Hapo kwenye ushoga unaweza kuweka clip kama ushahidi?

Hapo kwenye chuki, hebu fafanua vizuri chuki zipi hizo?

Kwenye uchafu mwingi, uchafu upi huo? Kwanini unaongea vitu bila uhakika!!

Hapo nazungumzia Ertugrul and Osman, wanaume wa shoka na wapambanaji. Na sio bongo movie, Indian movie, Nigerian movie n.k

Nasubiri majibu!
wanaume wa shoka? Ndo nini?
 
Tamthilia yenyewe ni mbovu kupindukia......!
 
View attachment 2279443
Kwenu Azam tv, azam two!

Kiuchache tu nisiwachoshe wadau wenzangu na wafuatiliaji wa Osman/Ottoman Empire, inayofuatiliwa na watu wengi.

Ombi langu kwenu Azam tv/Azam two, tunaomba tamthilia/Historia hii ya Osman, muongeze muda wa ziada, atleast li-saa li-moja na dakika thelathini (1.30hr), itapendeza sana ndugu zanguni. Mkuu Maxence Melo tufikishie huu ujumbe tafadhali!

Karibuni sana wananzengo!!
Nakubaliana na wewe kabisa na ninajua kabisa hayo ni maeneo ambayo Azam Tv nanafanyia biashara nje ya michezo yz mpira ila na wateja mahitaji yet WATUKUBALIE . JAMBO jingine naomba mwenye titlle ya kiTuruq ya tamthilia ya THE REVENGE maana kila ninapo search You Tube nakutana na move zingine zingia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom