Osman/Ottoman Empire

Osman/Ottoman Empire

Abu Ubaidah Commando

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2016
Posts
7,590
Reaction score
6,956
images.jpeg

Kwenu Azam tv, azam two!

Kiuchache tu nisiwachoshe wadau wenzangu na wafuatiliaji wa Osman/Ottoman Empire, inayofuatiliwa na watu wengi.

Ombi langu kwenu Azam tv/Azam two, tunaomba tamthilia/Historia hii ya Osman, muongeze muda wa ziada, atleast li-saa li-moja na dakika thelathini (1.30hr), itapendeza sana ndugu zanguni. Mkuu Maxence Melo tufikishie huu ujumbe tafadhali!

Karibuni sana wananzengo!!
 
View attachment 2279443

Maxence anahusika nini na azam media?
Alafu haya mambo ya watoto wakiume kuangalia tamthilia za ajabu ajabu muache
 
mtu aweke King'amuzi mwenyewe
alipie mwenyewe
aangalie mwenyewe tamthilia azipendazo
atokee mtu kusikojulikana ampangie mwenzie wakat hata kikija kuisha hamsaidii kulipia

akiangalia anavunja sheria gani ya nchi??
 
Download mkuu mbona rahisi tu Kama huna PC au simu tafuta kwenye maduka makubwa huko ziko kwenye mfumo wa disk drive
 
View attachment 2279443
Kwenu Azam tv, azam two!

Kiuchache tu nisiwachoshe wadau wenzangu na wafuatiliaji wa Osman/Ottoman Empire, inayofuatiliwa na watu wengi.

Ombi langu kwenu Azam tv/Azam two, tunaomba tamthilia/Historia hii ya Osman, muongeze muda wa ziada, atleast li-saa li-moja na dakika thelathini (1.30hr), itapendeza sana ndugu zanguni. Mkuu Maxence Melo tufikishie huu ujumbe tafadhali!

Karibuni sana wananzengo!!
Mkuu umri na jinsia yako tafadhali.
 
mtu aweke King'amuzi mwenyewe
alipie mwenyewe
aangalie mwenyewe tamthilia azipendazo
atokee mtu kusikojulikana ampangie mwenzie wakat hata kikija kuisha hamsaidii kulipia

akiangalia anavunja sheria gani ya nchi??
Sasa Max ni nani pale Azam media hadi amuombe aongee na uongozi wa Azam media kuhusu hiyo mitamthilia iongezwe muda?
 
FB_IMG_1656886406273.jpg
Tukufundishe kuwajua watu wa Azam sasa kuna huyu Elius.
FB_IMG_1656886472415.jpg
Kuna huyu Lameck watumie hawa na liwe ni wazo la viewers wengi wa hilo liupuuzi (kwa wanaume)
 
Sasa Max ni nani pale Azam media hadi amuombe aongee na uongozi wa Azam media kuhusu hiyo mitamthilia iongezwe muda?
mimi sjaongelea la max nimeongelea hilo la kumpangia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom