OSHA -Electrical Inspector II

babzube15

Member
Joined
Dec 20, 2014
Posts
19
Reaction score
4
Hawa jamaa wanalipwa Tsh. Ngapi ?kuna chalii anaulizia amechaguliwa post hiyo
 
Wewe ndio unauliza acha zako hapa... nenda kasome mkataba ujue na ufanye kazi kwa bidii. Tunalalamika kazi hakuna ukipata kazi mara mshahara mdogo..
 
Naona hujiamini au unaona utapata mshahara mdogo zaid ya unaopata sasa hivi.? Nenda utajua huko huko..
 
Kama alivyosema mdau hapo juu ni 6.1 plus incentive.
Lakin kwa sasa nafikiri taasisi ambayo mkurugenzi wake anawanyanyasa wafanyakazi wake osha is number one.
Yule amekuwa kama Mungu MTU.
Kauli mbiu yake usipokuwa upande wake huifaidi Osha.
Hakuna room yawafanyakazi kueleza madukuduku yao
 
Noma sana....serikali mpya inaweza kumbadilisha huyo mtu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…