Osama Bin Laden katika picha

Champion_Boy

Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
41
Reaction score
114
Mvulana aliyevaa shati la kaki (brown) wa pili kushoto ni Osama bin Laden hapo akiwa na umri wa miaka 14. Picha hii ilichukuliwa mwaka 1971.

Osama bin Laden aliuawa kwa kupigwa risasi na kikosi maamlum cha Marekani May 2 2011 Nchini Pakistan.

​

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zamani sana hata sitegemei kuzaliwa
 
Kumbe kweli akina darwin walikuwa sawa evolution kumbe ipo. Kumbe huyu jamaa alipokuwa kijana alikuwa mzungu sasa alibadilikaje gafla na kuwa profesa madevu?
 
Kumbe kweli akina darwin walikuwa sawa evolution kumbe ipo. Kumbe huyu jamaa alipokuwa kijana alikuwa mzungu sasa alibadilikaje gafla na kuwa profesa madevu?
Naon kma muvi hv[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23]

yess BiShoo haswaaAaa
 
Nikusahihishe, Osama ni wa pili kulia na siyo kushoto, ni huyo aliyezungushiwa duara jekundu...

Na hapa chini akiwa kwenye mafunzo ya judo mwaka 1984

Alafu huyo mwamba yupo hau taarifa za kifo chake white house walitunga ndo maana Obama na yule waziri zilitofautiana
Mmoja alisema walimuua kwenye mabishano ya risasi Obama akasema walimkuta akiwa anajenga ndoa (sex)
 
Tafuta documentary ya Bin Laden shot to kill utajionea mwenyewe ndio utajua na mkweli nani muongo.
 
Mm mpaka leo sijajua ni kwa nn Osama alitofautiana na US wakati alikua mtu wao muhimu sana kwenye kuangusha utawala kibaraka wa Soviet union afghanstan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…