M MN Productions Member Joined Aug 22, 2015 Posts 68 Reaction score 17 Sep 13, 2015 #1 Kama unajua kisa cha mfa maji maeneo ya Coco beach tafadhali mwagika. Ningependa kujua jinsi walivyojitahidi kujiokoa mbele ya hadhira ya wana daresalama walioenda kula bata siku hiyo hapo coco.
Kama unajua kisa cha mfa maji maeneo ya Coco beach tafadhali mwagika. Ningependa kujua jinsi walivyojitahidi kujiokoa mbele ya hadhira ya wana daresalama walioenda kula bata siku hiyo hapo coco.
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,841 Reaction score 37,579 Sep 13, 2015 #2 Lini? Maana Coco kila siku matukio.