mkuu una uhakika na hili?Kwakweli inasikitisha sana,wahuni wasiojua umuhimu wa wasomi wakitekeleza mauaji bila huruma!
NICAS MAINDA.alikuwa na kiwanja Mbezi
ambacho hakijajengwa. akaja
Mzungu fulani akajenga kwenye
kile kiwanja. mahinda akamuacha
Mzungu akajenga nyumba
ghorofa hadi ikaisha. Ilivyo isha
mahinda akamwambia mzungu
nipe funguo za nyumba yako
sababu umejenga kwangu. baada
ya kufuatilia wakaona ni kweli.
mzungu akaomba waongee
mahinda kakataa. Mzungu
kapanda ndege kurudi kwao.
baada ya mda mahinda
akauwawa. je hapo kuna
uhusiano kati ya mzungu na
kifo?. mwenye details atusaidie.
prof. seti chachage
Mie napita tuuuuu jamani
Prof..lowasssa
mkuu umechamba leo baada ya kuacha mchango wako choon?