Orodha ya wachungaji matajiri duniani

Orodha ya wachungaji matajiri duniani

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,701
Reaction score
14,101
Kama kawaida hatujala na kama tumekula hatujashiba.
Hawa ndio wanaokula kiulani mbele ya madhabahu yao kama ilivyoandikwa.
joseph.png


Joseph Prince

n.png


T.B Joshua

franklin.png


Franklin Graham
bill1.png


Billy Graham
kenneth.png


Kenneth Copeland...huyu pia ni Rubani wa Ndege.

Kina Nzee Upako..Mama Lwakatare,Kakobe,Mwingira,.....Nabii Frank(mpare)...Geodarvie, na yule anayejiita Bilionea bado hawasomeki ktk Ramani ya Dunia.
 
Kumcha Mungu kunalipa aisee. Hivi watu tu tunawaona wanavyojipendekeza kwa wakuu wa dunia hii ili kupata riziki zao si zaidi hao wamtumikiao Mungu aliyeziumba mbingu na nchi ambaye mali na dhahabu ni mali yake?. Ni hospital ipi inafungua au kutibu mtu mwenye mapepo?. Ni hospital ipi au gereza lipi linaweza badilisha maisha na mwenendo wa mtu?. Hakika hakuna. Wacha wale nawe ukiona vipi ingia kw3nye game kama unaona ni simple.
 
Hawa Wapiga dili wetu wa Bongo hawajaingia pamoja na kwamba hawalipi kodi....huwa siwasikii kuchangia maafa yoyote...Watachanga kina Diamond lakini wao kimya.
 
Hugo Graham ndiyo mmiliki was money Graham?
 
Kama kawaida hatujala na kama tumekula hatujashiba.
Hawa ndio wanaokula kiulani mbele ya madhabahu yao kama ilivyoandikwa.

Joseph Prince
T.B Joshua
Franklin Graham
Billy Graham
Kenneth Copeland.

Next Time unapoanzisha uzi ujipanga mkuu....we umegoogle tu bila hata kuangalia list ilivyopangwa ukatupia hapa....hizo ni namba za mwisho za Top Ten...huyo umemweka wa kwanza ni wa Mwisho kwenye Top Ten ya Richest Pastor....

1. Bishop David Oyedepo Net Worth 2016 – $150 Million
2. Bishop T.D. Jakes Net Worth 2016 – $147 Million
3. Chris Oyakhilome Net Worth 2016 – $50 Million
4. Benny Hinn Net Worth 2016 – $42 Million
5. E. A .Adeboye Net Worth 2016 – $39 Million
6. Creflo Dollar Net Worth 2016 – $27 Million
7. Kenneth Copeland Net Worth 2016 – $25 Million
8. Billy Graham Net Worth 2016 – $25 Million
9. T.B. Joshua Net Worth 2016 – $10 Million
10. Joseph Prince Net Worth 2016 – $5 Million

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom