Anakula matunda kwa kazi kubwa aliyoifanya hapo nyuma.. mabosi mpaka mashabi wanaelewa mchango mkubwa wa yaya toure, la sivyo wangekuwa washamtupia virago..Yaya Toure analamba mshahara akiwa anachoma mahindi;Guadiola ana mind ila mkataba unaheshimiwa angekua mzungu angeona aibu kula mshahara mnene hivyo bench angeenda hata westham
Utamtupiaje virago akiwa na mkataba?ni gharama kubwa wanaona bora abaki asaidie kombe la ligi na Yaya anajua akihama hapati tena huo mshahara kwa age yake,ilitokea Chelsea kwa Malouda alikua analipwa Paundi 100000 walimshusha hadi kucheza na team ya vijana ila jamaa hakutaka kuhama alijua hawez kupata huo mshahara team nyingine kwa kiwango kilivyoshukaAnakula matunda kwa kazi kubwa aliyoifanya hapo nyuma.. mabosi mpaka mashabi wanaelewa mchango mkubwa wa yaya toure, la sivyo wangekuwa washamtupia virago..
Amebakisha muda gani, na lini aliongeza mkataba!?Utamtupiaje virago akiwa na mkataba?ni gharama kubwa wanaona bora abaki asaidie kombe la ligi na Yaya anajua akihama hapati tena huo mshahara kwa age yake,ilitokea Chelsea kwa Malouda alikua analipwa Paundi 100000 walimshusha hadi kucheza na team ya vijana ila jamaa hakutaka kuhama alijua hawez kupata huo mshahara team nyingine kwa kiwango kilivyoshuka
Kwa WIKI, sio mwezi wala mwaka.Hiyo mishahara ni kwa mwaka au mwez?
Awe mwangalifu na kiumbe kinaitwa MWANAMKE, amcheki Emmanuel Eboue amueleze yaliyomkuta.No wonder Yaya Toure yupo happy tu kusugua bench. Shaka ya nini kila week unavuta mshiko mnono huku hutoki jasho?
Hiyo mishahara ni kwa mwaka au mwez?
Hiyo mishahara ni kwa kila wiki mkuu.Hiyo mishahara ni kwa mwaka au mwez?
Sema taxe za waingereza ni nyoko yani unamfanyia kazi Malkia.huo mshahara kwa wiki, toa 45% tax kinachobaki ndio halali yake
AiseeHiyo mishahara ni kwa kila wiki mkuu.
Kwa wiki Moja tuuHiyo mishahara ni kwa mwaka au mwez?
Atakuwa chizi. Aache 220,000 akachukue 45,000?Yaya Toure analamba mshahara akiwa anachoma mahindi;Guadiola ana mind ila mkataba unaheshimiwa angekua mzungu angeona aibu kula mshahara mnene hivyo bench angeenda hata westham
mbona Rooney ameacha 300000?Atakuwa chizi. Aache 220,000 akachukue 45,000?