Orodha ya vyuo vya kilimo, kwa shahada ya kwanza

bukoba04

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2014
Posts
1,402
Reaction score
1,294
Naomba msaada wanajanvi kujua orodha ya vyuo vya kilimo Tanzania, niweze kukimbizana daedline...
kuna ndugu ya yupo kijijin sana nataka nimsaidie kwa hili, maana amekosa nafasi SUA na UDSM
shukran
 
Aende nje ya nchi. Kwa TZ ukiondoa SUA labda vya non degree kama Ukiliguru, Omotonyi nk
Naomba msaada wanajanvi kujua orodha ya vyuo vya kilimo Tanzania, niweze kukimbizana daedline...
kuna ndugu ya yupo kijijin sana nataka nimsaidie kwa hili, maana amekosa nafasi SUA na UDSM
shukran

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom