Update orodha yako mkuu!!Hii ni orodha ya vyuo vikuu katika nchi ya Tanzania.
Chuo Kikuu cha Aga Khan (AKU)
Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU)
Chuo Kikuu cha Arusha (UoA)
Chuo Kikuu cha Bukoba
Chuo Kikuu cha Hubert Kairuki (HKMU)
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)
Chuo Kikuu cha Dodoma, (UDOM)
Chuo Kikuu cha Iringa (UoI)
Chuo Kikuu cha Morogoro (MUM)
Chuo Kikuu cha Muhimbili (MUHAS)
Chuo Kikuu cha Mzumbe (MU)
Chuo Kikuu Mt. Augustino cha Tanzania (SAUT)
Chuo Kikuu Mt. Yohana cha Tanzania (SJUT)
Chuo Kikuu cha Ruaha (RUCO)
Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST)
Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA)
Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji (TEKU)
Chuo Kikuu cha Tumaini (TU)
Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MUCCoBS)
Chuo Kikuu cha Zanzibar (ZU)
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT)
Moravian Theological College
Mwenge Catholic university (MWECAU).
Hivyo ndo vyuo vikuu Tanzania
Du, update inatakiwa. Vingi vimeachwa.IMTU iko wapi hapo
Umekurupuka sana!Hii ni orodha ya vyuo vikuu katika nchi ya Tanzania.
Chuo Kikuu cha Aga Khan (AKU)
Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU)
Chuo Kikuu cha Arusha (UoA)
Chuo Kikuu cha Bukoba
Chuo Kikuu cha Hubert Kairuki (HKMU)
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)
Chuo Kikuu cha Dodoma, (UDOM)
Chuo Kikuu cha Iringa (UoI)
Chuo Kikuu cha Morogoro (MUM)
Chuo Kikuu cha Muhimbili (MUHAS)
Chuo Kikuu cha Mzumbe (MU)
Chuo Kikuu Mt. Augustino cha Tanzania (SAUT)
Chuo Kikuu Mt. Yohana cha Tanzania (SJUT)
Chuo Kikuu cha Ruaha (RUCO)
Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST)
Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA)
Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji (TEKU)
Chuo Kikuu cha Tumaini (TU)
Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MUCCoBS)
Chuo Kikuu cha Zanzibar (ZU)
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT)
Moravian Theological College
Mwenge Catholic university (MWECAU).
Hivyo ndo vyuo vikuu Tanzania
Lakini sio vyuo vikuu. Labda kama angesema vyuo vya Elimu ya juuiaa
na arusha tech
wote hao wanatoa digrii