MEI MOSI
Kumbe kuna tofauti kati ya PASAKA na EASTER!Mwaka mpya!!!
X-Mass
Pasaka
Easter
Idd
acha kufananisha Eid na mambo ya kojonga wewe
Hivyo Eid ni ya kabila gani hapa Tanzania? Heri ya hao ambao wanaamini dini ambazo hazikuja na mitumbwi na melikebu. Wamatumbi na wahehe na wazigua walijua nini kuhusu eid kama siyo utumwa?acha kufananisha Eid na mambo ya kojonga wewe