Orodha ya matajiri Tanzania

Orodha ya matajiri Tanzania

Joined
Jul 8, 2013
Posts
54
Reaction score
76
Kuna ubishi mkali unaendelea hapa nilipo baada ya kifo cha Subash Patel.

Tunaomba link au taarifa kuhusu utajiri wa Patel, je alikuwa milionea, bilionea au trilionea?
 
Ukizungumzia milionea kuna mawili interm ya dollar au hizi zetu za madafu Tsh. Kwa mtu kama Patel he must be millionaire kwa USD but not billionaire kwa USD maana Tz tuna Mo na Rostam tu hao ndio billionaires wa USD wanaosadikika mpaka sasa.

Kitu cha kunote:
Networth ya mtu hupimwa kwa investments ya mtu na total assets alizonazo na siyo pesa cash alizonazo.
 
tafuta hela kijana acha kuzungumzia hela za wenzio
 
Kuna ubishi mkali unaendelea hapa nilipo baada ya kifo cha Subash Patel.

Tunaomba link au taarifa kuhusu utajiri wa Patel, je alikuwa milionea, bilionea au trilionea?
Jobless kwenye mabishano yao topic ni hizi hizi.
 
Endelea na ndoto za kusadikika mtanzania. Pigeni kazi tuondoke kwenye uchumi wa kati.
 
Sijui kwa nini Mungu aliruhusu kifo mpaka kwa mabillionaires
 
Kuna watu wana hela kuliko Patel hadi Maji wanayaogopa .

Sema tu hawajulikani.
 
Kwa Tanzania Hii Bado Mtu Mwenye hela Nyingi zaidi ni Bakhresa lakini Rostam ni bla bla za Media tu...Hela zake ziko wapi kwenye Mali zipi mana Caspian naona Macosta yakiyokua Migodini enzi za Jakaya sijaona kingine..
 
Lau kungekua na mazinga kama Yale ya awamu ya nne leo hii kungekua na bilioneas na milionea wengi kuliko wakati huu.
 
Back
Top Bottom