Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,495
Rank Name Net Worth Age Source Country of Citizenship
[URL='http://www.forbes.com/profile/bill-gates/?list=billionaires']




















wamekosea mbona simwoni baressa au deuji?
mimi nashangaa kila siku watu wanawasifu eti ni matajiri mpaka inapelekea rais kuwaogopa na kuwabembeleza hata wakiiba kwa makusudi sasa nimeshangaa hawa watu kukosekana huko hata manji? ina maana hata yanga hawaijui? hawajatutendea hakiKibanga;
ani kweli aisee, nimeangaliaaa wala sioni hao jamaa zetu. Au ni kwa vile wamewekeza kwenye juice zaidi?? Dah! Profesa kawaambia ukweli halaf wanakasirika
mimi nashangaa kila siku watu wanawasifu eti ni matajiri mpaka inapelekea rais kuwaogopa na kuwabembeleza hata wakiiba kwa makusudi sasa nimeshangaa hawa watu kukosekana huko hata manji? ina maana hata yanga hawaijui? hawajatutendea haki
hahahaaa ni kweli hata mjomba singhset haonekanikibanga;
Yaan naona hii si haki. Hiyo fedha yao wanaipima kwa kilo au Ratili?? Hata yu Signh wa Escrow hayupo. Ka aliwalipa watu fweza kwa viroba na mifuko ya sandalusi bila kuhesabu, mbona hata jina la huyu mjomba wangu halipo?? Huu ni uonevu kabisaaa