Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,269
- 675
TAASISI ZISIZOKUWA ZA KISERIKALI- (WAJUMBE 20) | |
TANZANIA BARA (13) | |
1. Magdalena Rwebangira( Independent lawyer CCM) | 2. Kingunge Ngombale Mwiru(CCM) |
3. Asha D. Mtwangi (Kazi Ikulu CCM) | 4. Maria Sarungi Tsehai ( CCM FamilY) |
5. Paul Kimiti (old CCM) | 6. Valerie N. Msoka(Mwanahabari CCM) |
7. Fortunate Moses Kabeja (CCM Damu) | 8. Sixtus Raphael Mapunda(uvccm) |
9. Elizabeth Maro Minde(CCM) | 10. Happiness Samson Sengi(CCM) |
11. Evod Herman Mmanda(CCM) | 12. Godfrey Simbeye(TPSF CCM) |
13. Mary Paul Daffa(CCM) |
wakati watanzania wakimpongeza Rais kwa kutmia hekima na busara katika uteuzi wake wewe unalalama, kweli sikio la kufa halisikii dawa.
vigezo na masharti kuzingatiwa acha kelele kwani kingunge na slaa kunatofauti gani.
anaweza kuongea na kusoma?atakuja la kopo lake?
Wakati mwingine jaribu kuwa na heshima Chadema imekufanya mpaka unakosa heshima au wewe unamuheshimu baba yako tu.anaweza kuongea na kusoma?atakuja la kopo lake?
Hakuna katiba Mpya Hapo ni walewale eti kimiti , Costa mahalu , mh
Alipendekezwa mkuu. Kati ya yale majina tisa na la dr padre mzinifu lilikuwemo. Tena aliwekwa namba nane