Orodha ya Majeshi Imara Afrika

Rwanda siioni...
 
Hapo kwa Kenya aisee hapana yani kenya wale Alshabab wa5 tu walipo kaifunga Westgate jeshi lote lilienda pale na hatimae wakaishia kuiba bidhaa za Nakumat tu..!
Hata mimi kwa kenya hapana...Alshaabab watano wale wakazunguka nao siku mbili.

Hapana.
 
sisi tunapasua mawe vifuani tunsona ndio ujanja
 
Nguvu ya jeshi inaendana na zana na hata bajeti.
 
ukiangalia post no. 31 kwenye uzi huu utaona ni wazi kuwa hizi data ni uongo uliokubuhu.

List haionyeshi silaha zifuatazo ambazo ni kawaida kujulikana kwa jamii:-

1. Mifumo ya ulinzi wa anga aina ya SA-6 Goa, S3,( type SA 6, S3)

2. Mfumo wa Kisasa zaidi wa maroketi aina ya A100 MLRS ( Type A100 mlrs) ni Tanzania pekee kwa Afrika ndiyo inayomiliki mfumo huu wa makombora.

3. Rocket projectors ambazo zipo za kutosha lakini hazijawekwa kwenye list.

4. Helcopiter zipo zaidi ya hizo 3, nyingine zimenunuliwa Ulaya na urusi hivi karibuni mtaziona labda maonyesho yajayo ya kitaifa.

ntawawekea picha soon.


NB: Hizo takwimu ni ujinga usio na impact yoyote kivita, waweza kuwa na silaha chache lakini zikawa efficiency na kusambaratisha silaha nyingi za adui.
 
we jinga sana unapotosha, nenda youtube kaone hiyo mission ilivyokuwa kali.
Hahahahaha hakuna vita ilipigwa kule Anjuan.. na tulipoteza Askari mmoja kizembe sana!
 
Ila huyo huyo USA alituliza ghasia kubwa duniani.

Vietnam ingekuwa week tu anatulia.
ghasia ipi us katuliza?

us aliweka bajeti ya kuipiga vietnam kwa wiki moja lkn us alipigwa kwa miaka saba mpaka akatoroka
 
ghasia ipi us katuliza?

us aliweka bajeti ya kuipiga vietnam kwa wiki moja lkn us alipigwa kwa miaka saba mpaka akatoroka
Mzee baba haujui Hiroshima na Nagasaki ilimaliza mzozo wa wababe wa dunia.

Hiyo vita US hakuipania...ni Sawa na ile operation ya nguruwe Cuba..hakupania.

-ila pia mahasimu waliingilia kuwasaidia.
 
we jinga sana unapotosha, nenda youtube kaone hiyo mission ilivyokuwa kali.
kwanza kitendo tu cha kanal kukimbia alivyoona jw imefika ni heshima tosha

alafu kanal alikuwa anapewa bac up na wafaransa hivyo bas atuna namna zaid ya kusema jw ilienda sambamba na ufaransa kama tiss alivyoitesa boss ya makaburu
 
Mzee baba haujui Hiroshima na Nagasaki ilimaliza mzozo wa wababe wa dunia.

Hiyo vita US hakuipania...ni Sawa na ile operation ya nguruwe Cuba..hakupania.

-ila pia mahasimu waliingilia kuwasaidia.
silaha kubwa dunian mpaka sasa ni nuke

sasa kama alitumia nuke why useme hakuipania iyo vita?

japan walikuwa umbali gan kuipiga us?

us hakuipania cuba? acha utan ww au unataka kusema pia us hakuipania syria
 
Tangu 1978 mpaka Leo mnakula tu shushu
 
silaha kubwa dunian mpaka sasa ni nuke

sasa kama alitumia nuke why useme hakuipania iyo vita?

japan walikuwa umbali gan kuipiga us?

us hakuipania cuba? acha utan ww au unataka kusema pia us hakuipania syria

-Hapana silaha kubwa duniani ni binadamu anayeweza kuitengeneza silaha kubwa duniani. Kama hauna huyo mtu utaenda kununua aliyoitengeneza yeye- na madhara yake unayajua.

Kutumia Nuclear sio kuipania vita. Mfano mzuri tu ambao umeutoa Syria utasema US alikuwa anapigana na Syria?? Hajatumia hata 25% ya uwezo wake wa kijeshi Syria[mawazo binafsi] kama sisi tulivyotumia kila kitu Uganda hadi jana madeni tunayo.

Umeshanitoa kwenye hoja ya Zana na bajeti nzuri ni vigezo vya jeshi kuwa bora.
 
Tangu 1978 mpaka Leo mnakula tu shushu
Nchi iko salama kwa sababu tunatimiza wajibu, mipaka yote iko salama nchi inastawi vyema.

Hakuna sababu ya kulazimisha vita, ila atayetaka hasa majirani zetu karibuni mtuchokoze ndiyo mtajua kuwa vita vya youtube si sawa na real frontline.

Viva JWTZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…