Orodha ya Majeshi Imara Afrika

Lazima zitafamika as long as jeshi linanunua silaha nje kwa wakubwa. Labda nchi itengeze silaha.
Mbona kwenye list hapo Kenya wamejaza porojo tu sijaona wanamiliki vifaru vingapi? Hii list kaandaa nani?
 
Hapo kwa Kenya aisee hapana yani kenya wale Alshabab wa5 tu walipo kaifunga Westgate jeshi lote lilienda pale na hatimae wakaishia kuiba bidhaa za Nakumat tu..!
 
Ni vigumu saana nchi za kijamaa kutoa data zake za kijeshi kwenye media kama hizo

urusi wanaambiwa tz ni nchi nzuri sana EA lkn us wanaona kenya ni the best

jwtz hakuna jeshi pale vifaa vyao karibu vyote ni vya kupewa kutoka china,urusi na north korea

wanajifanya wasiri kuficha udhaifu wao mfano angalia land na kota zao zilivyochoka

all in all hawajawai kupoteza pambano lolote mpaka sasa
 
Nguvu ya Jeshi inaendana sawa na Nguvu ya Uchumi. Unapokuwa na Uchumi mmbovu na Siasa za hovyo zilizokaa Porojo na Unanjaujanja usitegemee kuwa na Jeshi Bora hata siku moja!
 
Hayo mampbano unayosema ni yepi zaidi ya Vita ya Uganda? Hizo nyingine zote ni Peace Keeping Missions ambazo wengi hawaelewi wanachanganya na Combat Mission.
 
Hiyo n list and details Google ambayo n maoni tu ya watu kwa taarifa chache za kuokoteza do not trust on it ila ikupe entry point kujua zaidi
 
Hayo mampbano unayosema ni yepi zaidi ya Vita ya Uganda? Hizo nyingine zote ni Peace Keeping Missions ambazo wengi hawaelewi wanachanganya na Combat Mission.
Tuanzie hapa

kwanini tanzania ni mwanachama wa sadc ?
 
Anjuan
Hayo mampbano unayosema ni yepi zaidi ya Vita ya Uganda? Hizo nyingine zote ni Peace Keeping Missions ambazo wengi hawaelewi wanachanganya na Combat Mission.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…