DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,651
- 2,627
So everything has become political in Tanzania?
ofkoz,siasa ndio maisha ya kila siku!So everything has become political in Tanzania?
So everything has become political in Tanzania?
Nipo naangalia program yao kupitia TBC,yaonekana wamechoka.Hata kipindi cha leo,just imagin mambo ya jairo na igunga ya mwezi wa kumi mwaka jana.IVI KWA NINI WALIMTUKANA MAMBA HALI HAWAJAVUKA MTO?mean Mengi.maana naskia wamebaniwa mkataba na TV iyo bomu..nijazieni nijue
Waberoya,heshima yako mkuu