Naomba kujua watu walioanzisha muda (masaa) duniani, na ilikuwaje wakaset masaa. Mfano: Tanzania ikiwa saa 1 basi South Africa iwe saa 2 na kwanini isiwe nchi zote zina muda mmoja sawa? Wenye uelewa hapa nisaidieni.

Kuna mengi ya kuongea hapa, ila nionge kwa ufupi ni kuwa, machweo na mawio hutofautiana kutegemea na ukanda wa eneo. Sasa huwezi sema Tanzania jua kali sana kuwe saa sita mchana, halafua Marekani jua limezama then nao waseme ni mchana.
Asili ya calendar na masaa inaanzia mbali sana, lakini calendar tunayotumia sasa inaitwa Gregorian...ilianzisha na Papa Gregory miaka mingi iliyopita baada ya Kristo...(AD)