Weka bei ila pia maua mbona makubwa sana. Wanawake wavaa vitenge mara nyingi ni wanene. Sasa na maua makubwa hawapendezi. Acoording to my mama Ngina niko naye hapa nimemwonyesha. Anataka vitenge vya maua madogo.
Ha ha ha ha mkuu si wa Chanika, Hilo ndilo jina nililoanza kumwita wifi/shemejiyo nilipomuao. Unajua mke wa Kenyata mdogo aliyomzaa Uhuru alikuwa anaitwa mama Ngina, kuonesha heshima kubwa kabisa. So na wangu nilipomuoa nilimwita mama Ngina, ndilo jina lake mimi na yeye tu i.e mama Ngina wangu!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.