#Imetumika masaa 168 toka inunuliwe August mwaka huu #16GB Internal Memory #Clean-Haina michubuko kabisa #Ina uwezo wa kukamata 3G, GSM and WiFi. #Utapata na cover ninalolitumia, japokuwa ni universal cover for 10inch tablet, so halina tundu la camera ya nyuma, kuitumia camera ya nyuma ni hadi utoe cover lake. #Ni PM/Inbox kwa mawasiliano ya zaidi #Bei yake ni laki 5. #Ni po Dar es salaam. Kama upo mkoani tukikubaliana utatafuta mtu wako wa karibu nifanye nae biashara kwa niaba yako.
NB: Nahitaji kununua Desktop CPU kwa haraka kwa ajiri ya kazi zangu.