Mkuu soma uzi vizuri mbona bei umewekewa.Weka bei
Lete na za kutoka kwa Kiduku aloh, ili na sisi team Kiduku "turubudike" bhana.Yes hizi ni original mkuu,direct kutoka kwa Trump!
Zinadumu kwenye nguo zaidi ya siku.
Kweli wewe ni jitu jeusi aiseee!!inamaana huoni bei kweli?Weka bei
Nachagua nayotaka lakin,..hyo ferari original ni nzur sana,..anyway zote nzur hzo ila hyo bei yangu ya magu hyo utanifkiria,maana mi kwa kupagawa na perfume ndo mwenyew naeza ztaka zote hahahahaHaha super profit wapi mkuu,
Bei za kawaida tu mkuu,
70k unapata pia!
Kaka nataka kupunguza pesa niliyopanga kununulia kiwanja kama zitakua feki nitakusomea albadir?Yes hizi ni original mkuu,direct kutoka kwa Trump!
Zinadumu kwenye nguo zaidi ya siku.
Hahaha perfume moja inauzwa 75,000 sasa hio faida ya 100,000 itokee wapi mkuu,Ila mkuu hapo naona kama unakula super profit ya kuanzia 50,000 hadi 100,000 kwa kila perfume, hongera kwa ubunifu. "Perfume kutoka kwa Trump"