...labda mzee wa quality plaza atawapa ajira ya ku-entertain wageni wanaomtembelea ofisin kwake.:eyebrows:Mabosi wa TBC wamekuwa wakipigana vikumbo kukwepa ku renew contract ya hawa vijana machachari wanaokosa umaarufu kila kukicha,taarifa zinasema wao wenyewe wameanza kushtukia hiyo baada ya kipigwa kalenda kila siku huku ma technicians wa TBC wakirudia rudia show zao zilizopita miaka mingi,,kwa nini TBC wasiwe wazi na kukataa ku sign au ku sign ili hawa wandugu wajue moja??Tbc wakikataa ku sign hawa jamaa itakuwa ndio mwisho wao au wataenda ITV?watathubu kwenda ITV na walishamtukana mzee Mengi live kila mtu aliona??waswahili wanasema usinyee kambi,,kazi ipo!
wataingia kufanya filamu kama kina mzee majuto..
we rejao hawa jamaa si mnawatumia kukusanya watu kwenye kampeni zenu??imekuwaje tena
Mimi nasema watu wote walioipigia kampeni au wanaendelea kuipigia chapuo CCM lazima laana iwaangukie.The original komedi wanavuna walichopanda,na kwa kweli hawa jamaa watafulia mpaka aibu..sijui watakimbilia wapi.Walidanganywa na Manji na vihela vya msimu.Laana ya kuwapigia kampeni CCM inawala na itawala sana.
afadhar wapotee nanilihi zao kbs...yan waliniudhi cku ile wanadhihaki matokeo ya uchaguz igunga as if wao ndo ccm,.
Kuna wale wa EATV jamaa wako njema sana,nadhani watachukua usukani...jamaa wanafanya kipindi alhamisi muda uleule wa original komedi wa TBC ila mimi uwa nawatch hawa jamaa wa EATV....halafu ukitaka kujua kuwa jamaa wa ORIGINAL KOMEDI wamefulia walikuwa wanachonga sana Facebook,now days wamejificha yaani kwa mfano huyu masanja nadhani kaishiwa hata hela ya vocha ya kuweka kwenye moderm....
Hawa jama wako njema sana mfukoni.wote wana nyumba zao binafsi isipokua kiongozi wao.na wana biashara ndogo ndogo zinawapa kipato .nadhani facebook ya kinondoni ni ya mmoja wao,vengu cjui ye yukoje.hata wakiacha kuigiza usitegeme watatangatanga kama tulivyo zoea .walimtumia manji vizuri na ccm .kipindi kile wako peak.kwa hyo msitegeme kuwa watakuwa maskini.Mengi aliwa opress na still ana oppress wandishi wake kimshahara.wandsh wachache wanafaidi wengi bora liende