watajuta kunyea kambi ya mzee mengi,wamrudie tu mzee wao yule ndio aliyewatoa atawasamehe,otherwise waende kwa manji awape kazi ya kuchekesha wateja pale nje kwenye mall yake pale nyerere road quality
Wale wa EATV ndio vilaza kabisa!Kuna wale wa EATV jamaa wako njema sana,nadhani watachukua usukani...jamaa wanafanya kipindi alhamisi muda uleule wa original komedi wa TBC ila mimi uwa nawatch hawa jamaa wa EATV....halafu ukitaka kujua kuwa jamaa wa ORIGINAL KOMEDI wamefulia walikuwa wanachonga sana Facebook,now days wamejificha yaani kwa mfano huyu masanja nadhani kaishiwa hata hela ya vocha ya kuweka kwenye moderm....
ccm hapa inaingia vipi? Hawa wanatumiwa tu kama waburudishaji, na hamna sehemu yoyote ambao wameshawahi kusema wao ni ccm. Cdm pia ikiwahitaji kwenye kampen zao hawa zecomedy hawawezi kukataa cuz hawana mkataba na ccm!
Chamuhimu hapa jadilini hatma ya hawa vijana na siyo kuingiza mambo ya ccm hapa
CCM hapa inaingia vipi? Hawa wanatumiwa tu kama waburudishaji, na hamna sehemu yoyote ambao wameshawahi kusema wao ni CCM. CDM pia ikiwahitaji kwenye kampen zao hawa zecomedy hawawezi kukataa cuz hawana mkataba na CCM!
Chamuhimu hapa jadilini hatma ya hawa vijana na siyo kuingiza mambo ya CCM hapa
Wale wa EATV ndio vilaza kabisa!
Halafu wewe yaelekea una chuki binafsi na akina masanja! Kwa taarifa yako hawajafulia..wana nyumba nzuri, magari mazur na biashara zao! Tofauti na wewe ambaye sidhani hata kama una uwezo wa kujinunulia kitanda!
Sidhani kama kuna sehemu yoyote nimetukana..aliyetukana ni huyo anayewaponda bila kujua wana hali gani kiuchumi.Yaonekana unawajua sana hawa vijana mkuu!!!! Lakini kuwajua kwako isiwe kero kwa wenzako kwani hakuna sababu ya kutoa matusi kWA SABABU YA KUTOWAJUA HAWA JAMAA ZAKO.
Mabosi wa TBC wamekuwa wakipigana vikumbo kukwepa ku renew contract ya hawa vijana machachari wanaokosa umaarufu kila kukicha,taarifa zinasema wao wenyewe wameanza kushtukia hiyo baada ya kipigwa kalenda kila siku huku ma technicians wa TBC wakirudia rudia show zao zilizopita miaka mingi,,kwa nini TBC wasiwe wazi na kukataa ku sign au ku sign ili hawa wandugu wajue moja??Tbc wakikataa ku sign hawa jamaa itakuwa ndio mwisho wao au wataenda ITV?watathubu kwenda ITV na walishamtukana mzee Mengi live kila mtu aliona??waswahili wanasema usinyee kambi,,kazi ipo!
Weeee...mzee majuto yule ana kipaji maalum! Huyu mzee namkubali sana..siyo kama hawa mashorobaro wa zecomedy!
Duh hawa jamaa nilijua lazima watapotea katika ulimwengu wa vichekesho .Origional Komedy walifanya makosa makubwa kuchanganya fani yao ya vichekesho na ushabiki wa siasa na mpira,walikubali kutumiwa na CCM na kutumiwa na mfadhili wao kushabikia Dar Young Afrika haya ni baadhi ya mambo yaliyochangia kuwaangusha.
Hakuna jambo la hovyo walilofanya kama kumtukana Mzee Mengi hili lilinifanya niwaone kama wanawake wa Bar.
mimi naona walishindwa kutumia nafasi yao kufika mbali