yaah its true now days wanaboa, inabidi wawe creative sana, other wise watapotea kabisa katika ulimwengu wa sanaa!!!
Weeee...mzee majuto yule ana kipaji maalum! Huyu mzee namkubali sana..siyo kama hawa mashorobaro wa zecomedy!wataingia kufanya filamu kama kina mzee majuto..
Weeee...mzee majuto yule ana kipaji maalum! Huyu mzee namkubali sana..siyo kama hawa mashorobaro wa zecomedy!
yaah its true now days wanaboa, inabidi wawe creative sana, other wise watapotea kabisa katika ulimwengu wa sanaa!!!
Dhambi inayowatafuna ni ile ya kuwasaliti wazalendo na kuendekeza njaa kiasi cha kuanza kulamba makalio ya CCM!
Mabosi wa TBC wamekuwa wakipigana vikumbo kukwepa ku renew contract ya hawa vijana machachari wanaokosa umaarufu kila kukicha,taarifa zinasema wao wenyewe wameanza kushtukia hiyo baada ya kipigwa kalenda kila siku huku ma technicians wa TBC wakirudia rudia show zao zilizopita miaka mingi,,kwa nini TBC wasiwe wazi na kukataa ku sign au ku sign ili hawa wandugu wajue moja??Tbc wakikataa ku sign hawa jamaa itakuwa ndio mwisho wao au wataenda ITV?watathubu kwenda ITV na walishamtukana mzee Mengi live kila mtu aliona??waswahili wanasema usinyee kambi,,kazi ipo!
Mimi nasema watu wote walioipigia kampeni au wanaendelea kuipigia chapuo CCM lazima laana iwaangukie.The original komedi wanavuna walichopanda,na kwa kweli hawa jamaa watafulia mpaka aibu..sijui watakimbilia wapi.Walidanganywa na Manji na vihela vya msimu.Laana ya kuwapigia kampeni CCM inawala na itawala sana.
CCM hapa inaingia vipi? Hawa wanatumiwa tu kama waburudishaji, na hamna sehemu yoyote ambao wameshawahi kusema wao ni CCM. CDM pia ikiwahitaji kwenye kampen zao hawa zecomedy hawawezi kukataa cuz hawana mkataba na CCM!Dhambi inayowatafuna ni ile ya kuwasaliti wazalendo na kuendekeza njaa kiasi cha kuanza kulamba makalio ya CCM!