Original galaxy S4 for sale

mosesnicolus

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
285
Reaction score
26
nauza samsung galaxy S4 white mpya, nimeletewa. am selling it coz i got extra two phones tayari so siwezi kuwa na simu ya 3 zote.haina hata week. laki nane na hamsini (850,000)tsh
 

Attachments

  • 1385672195317.jpg
    68 KB · Views: 308
  • 1385672223150.jpg
    34.7 KB · Views: 312
hizo ndip ninazo tumia na sasa nyingine ya nn tena
 

Attachments

  • 1385744814618.jpg
    80.3 KB · Views: 222
  • 1385744852428.jpg
    75.1 KB · Views: 214
ww mimi situmiagi vitu vyenu hivyo vya slope, sema huna kitu arosto imekubana

Pole ukiwa unafanya biashara jaribu kuwa na hulka ya upole ndo njia ya kutangaza biashara, watakuja wengi lengo kupima thamani na ubora wa bidhaa yako na kukusoma mwuzaji ukoje. Pooza kidogo bongo na mambo yatakuwa poa. Labda hujamfahamu unayejadiliana naye ndo maana kakuulizia huku pengine kukusaidia uiweke vizuri biashara yake.

Binafsi sina haja kwa vile naweza kuvifikia vitu hivyo mwenye kutoka maeneo husika kwa bei ninayotaka badala ya kuagizia mtu aniletee. Basi nakuakia mafanikio.
 
ww mimi situmiagi vitu vyenu hivyo vya slope, sema huna kitu arosto imekubana

wewe unavyojiona huwo msemo wako hupo sawa kibiashara? huliza swali utajibiwa not otherwise , hiv ni vitu vya kawaida.haina p
 
we muuzaji hamnazo yani shida zako zinakufanya uuze halafu matusi watoa mwenyewe. Kuna biashara kweli hapo.
 
Mkuu usiuze kama ya dukani,,,,umeincurr zero cost,vat haulipi,risiti hutatoa..warranty haipo...so try to be fair.....
 
Hakuna cha wizi wala nini.

Mimi naziuza Note III N9006 (latest model) kwa bei hiyo.

Wateja wangu nawapa guarantee ya mwaka mmoja (kwa tatizo lolote la kifundi based on manufacturing wanirudishie). Na hadi sasa hakuna mtu aliyelalamika zaidi ya kusifia.

Kama inauzwa dukani hiyo simu yako ni sahihi kwa hiyo bei. Lakini kwa namna unavyouza wewe hiyo simu inatakiwa kuuzwa hata kwa 400,000/- mkuu.

Kumbuka, simu kwa sasa hazina gharama kama unavyodhani.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…