Original ashki mahjununi

Hahahaa anachunga mali zake maana hawa wenzetu wa escrow hatuwaamin kabisa.
 
Mshana Jr hii ndiyo inaitwa ABIRIA CHUNGA MZIGO WAKO🙂
 
hahahaaaa dah bunge linatia raha sana
 
Ngoja niende kwenye PC nikakupe laiki yako.Jana ilikuwa balaa mjengoni na mambo ya ashki.
 
Badala ya kuckitika jana niliishia kucheka tu kwa presentation ya Chambo (ashki majinuni)
 
Aisee hii mbaya, Waweza Fanya mambo mengine hapo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…