Van claude
Member
- Jan 9, 2015
- 53
- 12
Habarini wana jf ..
Nauza saa zangu mbili kutoka us
1: SEIKO 5 Gold Automatic Movement bei laki nne na hamsini (450,000)
#Sifa ya saa hii inadumu miaka na miaka
#Rangi yake haipauki kwa maana nyingine haipotezi mng'ao
#Huna haja ya kuweka betri katika kipindi chote utakachokuwa nayo
#Haiingizi maji