Hivi hamnaga kungwi wa kiume? Watu wanalalamika ajira hamna kumbe ni kuivumbua tu. Wanaume wajuzi kitandani changamkieni fursa hii ya kuwafundisha wenzenu ujuzi kwa malipo.
Unakuta jamaa anajisifu wanawake hawamsumbui kabisa anawajulia lakin ajira hana,hela zinampiga chenga ndo maana wanamkimbia. Huyu akifungua ka club ka kutoa maujuz aliyonayo must awe milionea