Oresund Bridge, ni daraja ambalo limeingia ndani ya maji na magari yanapita bila wasiwasi, lipo katikati ya Sweden na Denmark.
Hapa ni mwanzo wa daraja View attachment 221306
Tuwe na positive thinking, tukipata uongozi thabiti tunaweza hata zaidi ya hilo daraja... Nchi za far east kama Singapore zilikuwa sawa na sisi kiuchumi wakati wa uhuru wetu na wao, wameendelea zaidi yetu kutokana na uongozi thabiti.