Wakuu kuna chuo kimoja cha serikali kinatoa hii kozi kwa level ya diploma, je hii kozi imekaaje maana ni ngeni masikion mwangu? na je kunachuo kinachotoa degree yake? na vip kuhusu ajira zake wanaajiriwa moja kwa moja kama walimu? nje ya ukaguzi wa mashule anaweza fanya kazi gan nyingine mtu analiyesoma kozi hii?
Msaada please...
Msaada please...