Ikitokea re-trial ikawa ordered by the Court of appeal , kwa mfano ushahidi wote umeshatolewa na pande zote, inakuwaje maana kila upande unakuwa umeshaona weakness za upande mwingine. Is there not a possibility of FILLING IN GAPS by each side?
Nashukuru sana kwa maelezo yako. Samahani ila nadhani hujaipata point yangu. Ngoja niweke kesi ambayo imenipelekea kuuliza swali hilo/hoja hiyo. tafadhali ipitie kama hutajali. nambie katika mazingira kama hayo si upande mwingine utajazilia gaps walizozisikia toka upande mwingine?Kimsingi na kisheria re-trial ama trial denovo mbali na vigezo vinginevyo, huamriwa sababu mlolongo wa kesi nzima ni batili na kwenye mazingira ya haki kutotendeka. Pande zote mbili katika kesi zote (za madai na jinai) huanza kujua hoja na udhaifu wake mwanzo kabisa wakati kesi imefunguliwa rasmi na hivyo kutengeneza utetezi ama huko 'ku fill gaps' kunaanza hatua za awali kabla kesi ya msingi kusikilizwa kwa mara ya kwanza sababu pande zote mbili zinakuwa na taarifa za mashitaka ama madai ya kisheria kutoka kwa pande husika hivyo mbinu za kutumia udhaifu kwa faida kama 'devil's advocate rule' hujengwa hapo.
Mbali na hilo kesi mpya huja na mbinu mpya udhaifu wa kesi ya zamani waweza usiwe na manufaa katika kesi mpya, labda kam udhaifu usio badilika.