Maana yangu me ninazo nauzaMe ninazo hata ukitaka ps 20 , bei inaanzia 150,000 lkn mwisho kabisa 130,000 unapata complete na pad moja, pia ninavyo vifaa kama wheel, gun na game cd za aina tofauti kama vp nicheck uje kuona mzigo
waweza kupata ni pm,used zinakuaWakuu, izo ps ni used au mpya? Na je, naweza kupata ps3 kwa bei gani?
waweza kupata ni pm,used zinakua
Zote ni used lkn kizungu sio kichina mkuu..
za kwangu naleta kw special order unapata unachotaka1 ziko slim?
2 chipped kucheza cd zote?
3 formated kuplay flash disk's games?
1.sio slim ni zile kubwa
2.haziko chipped...
3.Haziko formated...
P.S ziko kama zilivyotengenezwa any modification unaruhusiwa kufanya ukishakununua on upur own risk....Thank You...
kama ni zile kubwa na hazichezi cd za kuburn wala flash disk uza elfu30 tu,