Naaaaaaaaam niko, naona recipes mmh nama J ataweza pika hii?
Naaaaaaaaam niko, naona recipes mmh nama J ataweza pika hii?
Nakuangalia tu
Naaaam nipo mummie, mzima? Kitambo sana tunapishana humu!😜
Hizi kuku naona princess atazipenda shost maana zinakuwa na utam fulani unajua watoto wanapenda sweets...nitajarjb kumpikia inshallah!
OK thanks, na ile eti lemon chicken napikwa kama hivo?
Tofauti ntaweka lemon chicken
Kwa hapo chipsi mie nlikula na baked sweet potatoes