M MLULUNI Member Joined Nov 30, 2011 Posts 13 Reaction score 0 Apr 9, 2016 #1 Habarini wadau wa JF, Naomba kuuliza kwa wale ambao tulifanya usaili TRA pale mwenge chuo cha Tax kwa nafasi za IT Vip kuna aliyeitwa kwa ajili ya Usaili wa mahojiano. Mwenye taarifa please
Habarini wadau wa JF, Naomba kuuliza kwa wale ambao tulifanya usaili TRA pale mwenge chuo cha Tax kwa nafasi za IT Vip kuna aliyeitwa kwa ajili ya Usaili wa mahojiano. Mwenye taarifa please
B bnhai JF-Expert Member Joined Jul 12, 2009 Posts 2,846 Reaction score 2,401 Apr 10, 2016 #2 Uliyaona matokeo? Yalibandikwa pale baadae wakapunguza idadi ya watu. Panga likapita tena. Swali lingekuwa je, wameshaitwa kazini?
Uliyaona matokeo? Yalibandikwa pale baadae wakapunguza idadi ya watu. Panga likapita tena. Swali lingekuwa je, wameshaitwa kazini?