D Dhwahiri Member Joined Jun 20, 2016 Posts 16 Reaction score 5 Jul 10, 2016 #1 Wadau Kuna mtu kwenye taarifa kuhusu oral interview za NHIF au ndo mchakato umeisha maana kimya kimezidi.Naomba ufafanuzi tafadhali kwa anaefahamu.
Wadau Kuna mtu kwenye taarifa kuhusu oral interview za NHIF au ndo mchakato umeisha maana kimya kimezidi.Naomba ufafanuzi tafadhali kwa anaefahamu.
MU-ARSENAL JF-Expert Member Joined Sep 21, 2012 Posts 956 Reaction score 597 Jul 10, 2016 #2 iv Kuna ajira zinatolewa kweli.
the locksman JF-Expert Member Joined May 5, 2012 Posts 1,104 Reaction score 357 Jul 10, 2016 #3 Dhwahiri said: Wadau Kuna mtu kwenye taarifa kuhusu oral interview za NHIF au ndo mchakato umeisha maana kimya kimezidi.Naomba ufafanuzi tafadhali kwa anaefahamu. Click to expand... Sikiliza taarifa ya habari.
Dhwahiri said: Wadau Kuna mtu kwenye taarifa kuhusu oral interview za NHIF au ndo mchakato umeisha maana kimya kimezidi.Naomba ufafanuzi tafadhali kwa anaefahamu. Click to expand... Sikiliza taarifa ya habari.
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,354 Jul 10, 2016 #4 mchakato ndo umeishia hapo.
FARU JEURI JF-Expert Member Joined Sep 4, 2015 Posts 377 Reaction score 299 Jul 10, 2016 #5 Et.capacity
FARU JEURI JF-Expert Member Joined Sep 4, 2015 Posts 377 Reaction score 299 Jul 10, 2016 #6 All men down now
K kijanamimi JF-Expert Member Joined May 29, 2015 Posts 245 Reaction score 176 Jul 10, 2016 #7 zimesimama kwa mda