Cpp JF-Expert Member Joined Nov 1, 2012 Posts 1,231 Reaction score 2,466 Jul 16, 2025 #1 Tunatafuta technicians kwa ajili ya fiber splicing kwenye GPON project. Location Dar es salaam. Ikiwa uko tayari DM kwa maelezo zaidi.
Tunatafuta technicians kwa ajili ya fiber splicing kwenye GPON project. Location Dar es salaam. Ikiwa uko tayari DM kwa maelezo zaidi.
Tech Max JF-Expert Member Joined Mar 21, 2025 Posts 337 Reaction score 308 Jul 16, 2025 #2 Cpp said: Tunatafuta technicians kwa ajili ya fiber splicing kwenye GPON project. Location Dar es salaam. Ikiwa uko tayari DM kwa maelezo zaidi. Click to expand... Mshahara shingapi kwa mwezi?
Cpp said: Tunatafuta technicians kwa ajili ya fiber splicing kwenye GPON project. Location Dar es salaam. Ikiwa uko tayari DM kwa maelezo zaidi. Click to expand... Mshahara shingapi kwa mwezi?
akili akili JF-Expert Member Joined May 5, 2014 Posts 1,767 Reaction score 1,155 Jul 16, 2025 #3 Cpp said: Tunatafuta technicians kwa ajili ya fiber splicing kwenye GPON project. Location Dar es salaam. Ikiwa uko tayari DM kwa maelezo zaidi. Click to expand... Yupo kijana wangu, mtalaam sana wa hizo kazi, nimeshindwa kuja PM naona kama umefunga.
Cpp said: Tunatafuta technicians kwa ajili ya fiber splicing kwenye GPON project. Location Dar es salaam. Ikiwa uko tayari DM kwa maelezo zaidi. Click to expand... Yupo kijana wangu, mtalaam sana wa hizo kazi, nimeshindwa kuja PM naona kama umefunga.
N Neyacd New Member Joined Feb 14, 2024 Posts 1 Reaction score 0 Jul 26, 2025 #4 Habari !! Naulizia kama hizi nafasi Bado zipo maana Mimi nimeliona hili tangazo Leo. Nnahitaji hii kazi, nimesoma Telecommunications Engineering (BSc.) Asante !!
Habari !! Naulizia kama hizi nafasi Bado zipo maana Mimi nimeliona hili tangazo Leo. Nnahitaji hii kazi, nimesoma Telecommunications Engineering (BSc.) Asante !!