Oprah Winfrey lands in Serengeti for private visit

Zote hizi zishauzwa, si tumebaki tunachekelea tu Oprah kaja tanzania, kumbe viza yakuingilia huko niya UAE.
 
Mawazo ya kipunguwani kabisa haya..wakenye sio mabwege kama mlivyo watanzania mnashabikia vitu visivo na tija na maana katika maisha yenu

Unajua tz pato lake la taifa inategemea asilimia ngapi kupitia sector ya utalii??unajua ujio kama wa oprah unaitangaza nchi kwa kiasi gani duniani?
 
Yes.......the first is Selous Game Reserve I think.....

Uko sahihi -kwamba Selous is the bigggest GAME RESERVE in Africa, na Serengeti is biggest NATIONAL PARK
 
Uko sahihi -kwamba Selous is the bigggest GAME RESERVE in Africa, na Serengeti is biggest NATIONAL PARK

Ruaha ndio largest national park in Tanzania, serengeti ni ya pili.. Unaweza pitia Tanapa website for more details au wikipedia..
 
kama wao ambavyo huwa wanatuuliza kule kwao kwamba tumeingia na dola ngapi, je naye huyu hapa kwetu amekuja na dola ngapi?
 
Yah......labda mtoa mada alimaanisha ya pili in Africa........sijui.....

Ni ya pili kwa ukubwa wa square meters baada ya selous, lakini si kwa umaarufu na wingi, diversity ya wanyama pamoja na umaarufu.
 

You copied this from Daily News website. credit the source
 
Nyalandu kawa mpokea wageni Serengeti? Gharama zake analipa nani?
 
ni sehemu ya promotion na marketing, atavuta wizarni na TANAPA kama unabisha subiri utaona
Nyalandu kawa mpokea wageni Serengeti? Gharama zake analipa nani?
 
sasa kama ni private yamefikaje humu JF?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…