Oprah for President 2020


Ungejua wala usingesema ulichosema!

White Hollywood celebrities wanapendwa na Wamarekani?

Ushawahi kuishi Marekani wewe?
 
Ungejua wala usingesema ulichosema!

White Hollywood celebrities wanapendwa na Wamarekani?

Ushawahi kuishi Marekani wewe?
Nipo europe..ila nina uhakika na ninachokisema..kama hawawapendi..Arnold asingeukwaa ugavana wa California!
 
anavyosapoti mashoga, marekani kutakuwa na uhaba mkubwa sana wa wanaume akiwa rais huyu dada. halafu kuna tetesi kwamba yupo miongoni mwa supporters wa NEW WORLD ORDER dini inayotaka kuja kutawala dunia, wanataka kuweka order ya kwao, namna ya kwao kuabudu na kufanya vile ambavyo ni acceptable kwa wanadamu wote. maandalizi ya mpinga kristo kutawala dunia yote toka centre moja.
 
Nipo europe..ila nina uhakika na ninachokisema..kama hawawapendi..Arnold asingeukwaa ugavana wa California!

Unaona sasa!

Hujui hata siasa za kitaifa za Marekani zilivyo.
 
Unaona sasa!

Hujui hata siasa za kitaifa za Marekani zilivyo.
Mkuu by the way hoja hujibiwa kwa hoja..kuishi au kutokuishi kwenye nchi flani hakumfanyi mtu akaelewa au kutokuelewa siasa za nchi huzika otherwise uwe na interest na siasa!..pia inategemea na understanding capacity ya mtu!itakuwa vizuri zaidi ukatufafanulia hizo siasa za marekani zikoje!
 

Nakwambia huzijui na huzielewi siasa za kitaifa za Marekani na ndo maana umetumia mfano wa Arnold na Ugavana wa jimbo la California.

Jimbo ambalo hata huzielewi siasa zake.
 
Fuatilia uchaguzi wa mwaka juzi ilivyotokea, ndo utaelewa.
Its not only about white people vs colored.
Its about conservative white voters.
Na hawa conservatives hawapo in favour of other whites that support liberalism.
Kumbuka american civil war ilitokea kwa sababu hiyo hiyo. Yaan whites walipigana na whites kuhusu hiyo philosophy...
Na hiyo conflict hiyo imeendelea mpaka leo.

Anyways, fuatilia vizuri haya makundi mawili:
Liberals vs Conservatives.

Halafu utajua kwa nini Trump alishinda. Na mwisho utaelewa ugumu unakuwa wapi kwa Oprah.

Ahsante.
 
Marekani inazidi kuelekea Shimoni tu, bye bye America!!
 
Wakuu urais wa Trump umekalia kuti kavu baada speculative speech amedeliva hapo jana, karibuni tumuunge our fellow black is going to oval office for second time
 
Hana uzoefu wowote na siasa ila wamarekani wanavyo penda ma celebrity anaweza kugombea na kushinda.
Uzoefu[emoji15] [emoji15] [emoji15] wangapi wenye uzoefu wanaopewa hizo nafas wakaishia kuvurunda tu.
 
Acheni kujitekenya mkacheka wenyewe...Nani amekwambia wamarekani wako Tayari kuongozwa na mwanamke saizi..Tena mweusi?...Huu uliberali unawadanganya sana.
 
Hahaha..Ma liberal bana..Unafikiri Urais ni kila mtu anaweza kuwa?..Hao wanawake kwa nini wasimpigie kura Clinton ashinde?..Huwajui wanawake wewe.Endelea na mawazo hayo tu
 

Ndo maana nikamwambia hazielewi siasa za Marekani!

Hollywood liberals hawana support kivile ya Marekani yote. Sana sana support yao itatoka West coast na East coast hususan L.A. na NY....na labda Chicago.

Lakini huko midwest, the south na kwingineko hamna kitu.

Marekani mtu akikuambia ‘you’ve gone Hollywood’, ‘you’re acting Hollywood l’, au ‘you’re Hollywood’, siyo sifa. Ni kama tusi flani hivi.

Sasa huyo mshikaji haelewi hayo.
 

Actually, Reagan was a two term governor of California. Before he was elected president, he tried to run for the office in several times. So by all accounts, the gentleman was a seasoned politician with vast experience.
 
Definitely!
Samehe tu mkuu.
Watu hawafuatilii facts; Ila wanapenda ku-argue, just to feed their perspective.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…