Oprah Content on being 'a never married woman'

Na kwa nini mtu uongelee kitu ambacho huna hata experience nacho...woga mbaya sana...utasikia marriage this...marriage that...ukiuliza umeoa/olewa/achika/achana/acha jibu Hapana...umejuaje...oooh nimeona...ingie ucheze uje na ushuuda wenye mashiko


Ijapokuwa ndoa nyingi zimekuwa majanga, lakini zipo ambazo ni very fine!! hivyo hakuna sababu ya kuogopa vitu ambavyo binadamu wenzio wameweza.
 


Mimi kuwa selfish hakuhalalishi Oprah awe selfish

na watu kufanya charity sio lazima iwe wanafanya sababu they are not selfish
yawezekana wanafanya charity ili 'to feel good about themselves'
na kupambana na 'guilty feelings ' kwa kuwa wako too rich huku wako surrounded na watu wengi maskini
na hiyo pia ni kuwa 'selfish' still
 
I think we're all selfish to some extent, kutoa misaada kwenye charity haimanishi sio selfish, charity na ndoa ni vitu viwili tofauti, anasema ndoa inataka commitment na sacrifice, nafikiri hata kuendesha organization zake kunahitaji commitment na sacrifice nyingi tu, why she can't apply those principles kwenye ndoa? Ndio uselfish wenyewe.
 
Angekuwa sister mtawa tungemuelewa.
 

Sijui kama anawachukia wanaume, huyo boyfriend wake mbona wako wote sasa mwaka wa 27
 
Siwezi kubaliana na wewe zaidi ya hapa, yaani kuna wengine wanaoa ili kutesa wenzi wao.
Ungeongeza na kuwa, si kila mtu anatakiwa kuwa mzazi.

Marriage is not for everybody.
 
Kwa kisukuma="Kulehya'

Lakini naunga mkono hoja, kama hujisikii kuoa ama kuolewa ni bora kutofanya hivyo kwa kuhofia jamii inayokuzunguka. Maana ikitokea ukaoa halafu ukashindwa kukidhi matarajio ya jamii kwenye ndoa hiyo, utaishi kwa masimango zaidi, 'mwanamme suruali, halei watoto, katelekeza mke'. Kwa nini upae hayo yote? bora kutooa tu.

 
They are entitled to their opinion, lakini hawabadilishi jinsi wewe unavyoifikiria ndoa.

Sometimes unaweza jikuta umezungukwa na watu unaofikiri nao tofauti kabisa juu ya jambo fulani, lakini ukitafakari utakuta kuna mahali pengine watu wana mtazamo sawa na wewe. Mie naona uko okay kabisa kuwa hao ulipo, hadi utakapoamua kubadili mtazamo wako.

Kwani watu wa jf ndio wanatunga 'manual' ya jinsi ya kuishi kwa usahihi zaidi?

bora wewe umesema kuna walio kwenye ndoa hapa JF, wanaona ambao hawajaolewa kama wamezungukwa na mikosi hivi, hawana bahati na bla bla kibao,
 
If one has the ability and belives that he can marry let him/her do so and if one also has self doubts n insecurities over marriage then dont do it.
Dont compell yurself in vowe that will make yu unhappy
 

Hahaha,

Wasukuma hatujachacha.

Thanks for the vocab. Sasa najua nikipata writers block katika kuandika kisukuma nikimbilie wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…