ndumbwilaga
Member
- Oct 20, 2019
- 47
- 41
The
je unajuwa maana ya motisha kwa mtu yeyote kwa nchi yake ww unafungwa jela kwa kesi za kubambikiwa unategemea mtu huyo atakuwa na furaha unasema unataka maendeleo kuna mbunge wa katavi wa upinzani alizuiliwa kuingia hospital kupeleka misaada kwa wagonjwa je unafikiri kwa ukaburu huu wa ccm upinzani unaweza kutengeneza chuo cha ufundi na kikakosa usajiliTunahitaji sera zinazo eleweka sisi sio watoto wadogo, taifa letu Lipo nyuma kimaendeleo, alafu unatutangazia sera ya kuwaomba world bank wazuie mkopo. Hatutaki mambo ya kitoto bhana, tunahitaji vitu vya maana, twambie sera za kuleta maendeleo ya taifa mfano tusikie siku moja kuna kiongozi wa upinzani ameiandikia barua nchi fulani kuiomba msaada wa fedha za kujenga vyuo vya ufundi Tanzania nzima au tusikie kiongozi fulani wa upinzani ameiandikia barua benki ya dunia kuiomba fedha za kujengea vituo vya utafiti wa bidhaa zinazo weza kutengenezwa viwandani. Hayo ndio maeneo muhimu tunayo Hitaji kwasasa, ukifanya kama hayo nani atakaye kunyima kura basi, hata kama ukinyimwa basi Mungu atakulipa lakini sio kupita maeneo ambayo wenzako wameyatafuta. These kind of leaders are leaders who lack leadership skills. Go and lead leadership skills msije mkawa mnapeanaga vyeo bila kufanya assessment. Sasa mnalisaliti taifa letu.