Kiby
JF-Expert Member
- Nov 16, 2009
- 6,899
- 4,623
Lakini ccm iliyoshindwa ni hii hii ya Magufuli au kuna nyingine?Haujui kupambanua mambo jifunze kwanza kabla ya kuja barazani, CCM wenyewe wanamsifu Magufuli na kuwasema watangulizi wake kuwa walishindwa, wewe unaisifu CCM iliyoshindwa miaka yote na Magufuli ameyaweza.
Uwezo wa utendaji si wa chama ila ni wa mtu binafsi.
Uzuri wake magufuli katika ubunge wake kwa miaka ishirini akitumika pia kama waziri.
Sasa kama Tanzania ilikwamishwa katika mambo mengi ni ccm iliyoakwamisha na afadhali ya ccm ya nyuma kwa hii ya sasa ni kwamba serikali ilijitofautisha na chama na ku act kama serikali kwa wote vila ubaguzi wa uchama, udini , ukabila nk.
Hii ccm ya sasa imeshindwa kabisa kujitofautisha na kinachoendelea sasa ni mlio wa mbali kuondoa kabisa umoja wa kitaifa na mshikamano uliodutoka uhuru wa taifa hili.
Chuki inakuzwa kila uchwao na nibasema haya nikiwa nakiri kutokuwa na maslahi katika kikundi chochote cha kiitikadi. Mimi ni mjasiria malininaetegemea kazi zangu binafsi lakini nikitizama kwa jicho la tatu naona amani ikimomonyolewa na mahala pake kuchukuliwa na hofu na uoga.
Sent using Jamii Forums mobile app