accountant D
Member
- Dec 17, 2013
- 46
- 17
- Thread starter
-
- #21
Kila la kheri kijana, ukianza kazi observe time kiukweli ukweli.
Halafu jielimishe zaidi na zaidi kwa vitu vya msingi, ujaribu kupunguza muda wa kuwa kwenye mitandao kadri iwezekanavyo.
Kule utahitajika kusoma mitihani ya ACCA/CPA/CISA kutegemeana na nini unafanya, fee, vitabu, review vyote unapewa, ni wewe tu na muda wako kusoma na kufanya kazi.
You wont regret working with those guys for sure.
Thanks alot for the heads up...tayari nilishaanza CPA na nitafanya kuendeleza..
That will be an advantage to you, umebakiza paper ngapi? Kama ukijitahidi ukaziclear this November unajihakikishia kuongezwa mshahara January kwa utaratibu wao jinsi upo.
Kila la kheri, pale kuna watu kibao wa kukuguide kazi, wengi sana nakuhakikishia na hawana kinyongo, ukitaka kujua kazi utazijua tu.
Walikuwa na ki-slogan chao cha "We unlock your potentials"; It's real.
Hivi ni kwamba wewe ni mgeni wa lugha ya Kiswahili au huo Umombo unaokutiririka ni furaha ya kupata kazi...
That will be an advantage to you, umebakiza paper ngapi? Kama ukijitahidi ukaziclear this November unajihakikishia kuongezwa mshahara January kwa utaratibu wao jinsi upo.
Kila la kheri, pale kuna watu kibao wa kukuguide kazi, wengi sana nakuhakikishia na hawana kinyongo, ukitaka kujua kazi utazijua tu.
Walikuwa na ki-slogan chao cha "We unlock your potentials"; It's real.
Kaweke heshima bar au?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Basi hapo patakua na best working enviroment.Nimeenda huko leo na kila mtu amefurahi na wapo willing to help.The whole thing is a true description of proffesionalism.It is a dream come true.
nimefanya CPA ya kenya mpaka section2.nitaendeleza intermediate stage ya huku tanzania baada ya kuomba exemption kutoka kwa NBAA..asante mkubwa kwa hii info.
What z ur favourite fud n drink u TerJobs are not in internets and pieces of papers as most of u guys want us to blive..thats slavery..jobs are within ourselves amd not with themselves..
Unapotea kijana tends za mamilion plus vyeo zinapatikana bar/lodge na hotelschupa moja mbili tatu sio mbaya,lakini bar ni njia moja ya kujiua financially.
Habari wanaJF,
Last time nilipost hapa jinsi nilivyochelewa first interview, well apparently i passed that interview and was called for an interview with the partners which i also passed.
Kwa hivyo baada ya mwaka mmoja na miezi miwili nimefanikiwa kupata kazi nashukuru sana kwa maombi yenu. Msikate tamaa graduates wenzangu, tutafute kazi strategically.
Know what you want keep developing the skills needed by employers, leave alone the degree paper if you are an accountant get to learn accounting softwares, get an internship, learn a new skill even driving, learn some proffesional behaviour,do something for the community.
Lead people in your circles, network, update your linkedin status etc, strategy in summary keep God close and he shall trully bless you.
ahsanteni
Unapotea kijana tends za mamilion plus vyeo zinapatikana bar/lodge na hotels