ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 326
Habari wanajamii,
Kwa wale wapenda maendeleo na wapenda kujifunza, naomba niwakaribishe kwenye "presentation" itayofanyika leo jengo la Millenium towers dar es salaam. Hakuna kiingilio chochote na utapata kujifunza jinsi gani unaweza kupata kipato tena kizuri kwa kuhusisha ndugu, jamaa na marafiki wanaokuzunguka.
Njoo uone vijana wadogo wanaoingiza zaidi ya mil20 kwa mwezi jinsi wanavyojitolea kukufundisha jinsi gani unaweza kufanya biashara hii na ukapata mafanikio ndani ya muda mdogo sana. Njoo ujifunze kupata pesa ambayo ni halali na si ya wizi, ambayo itakufanya uishi kwa amani sana.
Ajira imekuwa ngumu sana na hata walioajiriwa maisha pia ni magumu. Njoo ujifunze jinsi gani unaweza kumiliki biashara yenye "capital" mdogo sana na kukufanya uache utegemezi wa ajira.
Njoo ujifunze. Acha uwoga wa kujaribu.
Muda: Saa 8.30 mpaka 10.00 mchana huu.
Niandikie ujumbe kama ungependa kuhudhuria ili nikupe maelekezo zaidi.
I am often asked if Network Marketing is a Pyramid Scheme. My reply is that corporations really are pyramid schemes. A corporation has only one person at the top, generally the CEO, and everyone else below. Donald Trump, Entrepreneur and Author
You will meet people who believe all network marketing opportunities are pyramid schemes. Why spend all your time trying to convince them otherwise when there are legions of people who are open to what you have? -Randy Gage, Network Marketer, Trainer and Author
If your business is not on the internet, then your business will be out of business. Bill Gates, Microsoft Founder