Oppo Reno 5 wadau mna mtazamo gani juu ya hii simu.

Kwani mkuu unatumia simu gani? Maana huu mjadala wenu nmebaki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwanini hujairudisha Samsung? Na simu ina warranty ya miaka 2?
 
Oppo ni next level. Mimi Nina oppo A9 2020
 
Umaelewa nini maana ya Mtazamo wa Mtu. I Phone ni simu mbaya? Lakini mbona sio wote wanaozikubali? Mimi nishasema A series zote kwa mtazamo wangu sijazipenda sasa nyinyi mnataka kunilazimisha nizipende
Shida yenu nini?
Kumbe shida yako ni kwamba unazichukia A series,kama wengine wanacyozichukia tecno,infinix na apple.

Lakini chuki yake haizifanyi hizo simu kuwa mbovu.

Unasema umetumia A52,ni simu huipendi kwa sababu zako tu,ila kusema ni simu mbaya generally ni kutafuta ligi tu humu.
 
ila ww jamaa unapewa facts bado huelewi Samsung A series ni nzuri kwanzia a80 + a51 ila chini ya hapo n majanga
Wala sio kweli kwamba kuanzia a80 ndio misumari.

ASeries vimeo toka zianze kutoka ni a10,10s,20s,a02,a11,30 na a30s ina nafuu,halafu uafadhali unaanzia hapo kwenda juu.
 
Mnaotaka Ligi ni nyie,ilikuwa vizuri mngeniignore tuu. A series ni Simu za hovyo kwa experience yangu. PERIOD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…