Oppo Reno 5 wadau mna mtazamo gani juu ya hii simu.

"Wala sio kweli kwamba kuanzia a80 ndio misumari."

"A Series vimeo toka zianze kutoka....."
Tunaomba mtu apinge kwa hoja yenye nguvu na sio chuki tu ya A series, kama sijakosea A series hazijaanza kutoka kama ambavyo wewe unajua bali haujui zilianza lini, zimeanza muda mrefu nadhani yaweza kuwa 2014 na sio kila toleo la A series hufika kila nchi.

Kuna hizi A series za zamani naomba unitajie huo ukimeo;
  • A3
  • A3 2017
  • A5 2017
  • A5
  • A6 2018
  • A6+ 2018
  • A6s
  • A7 2018
  • A8
  • A8 2018
  • A8+ 2018
  • A9
  • A9 pro 2016
  • A9 2018

Kisha kuna hizi A series naomba unitajie huo ukimeo wake;
] A50
[ ] A50s
[ ] A51
[ ] A51 5G
[ ] A51 5G UW
[ ] A52
[ ] A52 5G
[ ] A60
[ ] A70
[ ] A70s
[ ] A71
[ ] A71 5G
[ ] A71 5G UW
[ ] A72
[ ] A72 5G
[ ] A80
[ ] A90
 
Mkuu baadhi ya sifa za A52
-Ni water proof midrange chache zina hii feature
-Camera yake ina OIS ambayo nayo ni midrange chache utaikuta
-Software updates miaka 3 na Security updates miaka 4, mpaka 2025 haitakuwa outdated
-reasonable perfomance na SD 720G
-90hz Amoled display

Zipo A series ambazo ni average kama A12, A32 etc ila sio A52, huwezi pata Midrange ambayo ni All a rounder kushinda hii.

Low-EndMid-RangeHigh-End

Shida ipo hapo kwenye hayo maneno ndugu, inapokuja suala la mtu kuhitaji Simu inabidi aangalie ataangukia wapi.

Kampuni zinatengeneza simu kwa kuendana na category na soko, ikiwa mwanzo mtu alitumia A10s kisha kaamua kujikaza akanunua Oppo reno5 na anapokuja kulinganisha Oppo Reno 5 na Samsung Galaxy A10s🙄 hii ni dhambi ya kiteknolojia.
 
Shida yako wewe na wenzio ni ujuaji. Mimi natumia simu simu hainitumii mimi. Sina muda wa kupoteza na uchambuzi wako wa Specs za Simu. Mimi nimekwambia A Series kwangu mimi naona ni simu za Hovyo lkn wewe unanilazimisha nizikubali, why? Hata Magari sio kila mtu anapenda BMW na sio lazima yaani.
Sio kwamba ni ujuaji na haujalazimishwana mtu ila Specifications za simu ndiyo zimekulazimisha (Kama unaweza hata kutoa copy ya A10, toa nitanunua kwa 1m bahati mbaya hautaweza😄😄).

Na ulipokosea ni kugeneralize A series zote kuwa ni za hovyo na kujiona unajua sana, na Tumekubali kuwa baadhi ya A series hazipo katika level nzuri,(Jikute TBS zipige marufuku A series Bongo, 😁😁😁 bahati mbaya hauwezi).

Sijawahi kwenda Makumbusho na sijui hizo simu za makumbusho zipo vipi pia na hata hizo simu za Makumbusho kwa walizonazo bado JF wanaingia tu(Jamaa wa Makumbusho wanapiga hela wewe unateseka 😁😁😁)

Kahela kangu kiduchu ndiyo huwa kanaamua ninunue simu aina gani muhimu iwe aluminium frame na Amoled display tu hayo mengine baki nayo (Hapa ndiyo pale ulisema haihitaji kulazimishana😒😒😒)
 
Mimi sio Level za Infinix. Kuwa offended na online opinions za mtu usiyemfahamu ni dalili kubwa sana ya stress na tabia ya watu broke
Online tunajifunza na kuelimika pia,au unafikirije!!!

Unaweza fokewa online,elekezwa na hata kushangiliwa pia,kikubwa ukidhi vigezo vyovyote hapo.

Watu wasio broke hawabishanii ubora wa simu za milioni kushuka chini,wewe uliwahi kuona wapi???
 
Sio kwamba ni ujuaji na haujalazimishwana mtu ila Specifications za simu ndiyo zimekulazimisha (Kama unaweza hata kutoa copy ya A10, toa nitanunua kwa 1m bahati mbaya hautaweza😄😄).

Na ulipokosea ni kugeneralize A series zote kuwa ni za hovyo na kujiona unajua sana, na Tumekubali kuwa baadhi ya A series hazipo katika level nzuri,(Jikute TBS zipige marufuku A series Bongo, 😁😁😁 bahati mbaya hauwezi).

Sijawahi kwenda Makumbusho na sijui hizo simu za makumbusho zipo vipi pia na hata hizo simu za Makumbusho kwa walizonazo bado JF wanaingia tu(Jamaa wa Makumbusho wanapiga hela wewe unateseka 😁😁😁)

Kahela kangu kiduchu ndiyo huwa kanaamua ninunue simu aina gani muhimu iwe aluminium frame na Amoled display tu hayo mengine baki nayo (Hapa ndiyo pale ulisema haihitaji kulazimishana😒😒😒)
Why umepanick na maelezo marefu namna hiyo? My stand will always be A series ni simu za Hovyo! PERIOD and Im out of this League.
 
Mnaotaka Ligi ni nyie,ilikuwa vizuri mngeniignore tuu. A series ni Simu za hovyo kwa experience yangu. PERIOD
Hapana,hatuwezi ignore na unapotosha uma.

Hili ni jukwaa linaloheshimika mkuu.
 
Online tunajifunza na kuelimika pia,au unafikirije!!!

Unaweza fokewa online,elekezwa na hata kushangiliwa pia,kikubwa ukidhi vigezo vyovyote hapo.

Watu wasio broke hawabishanii ubora wa simu za milioni kushuka chini,wewe uliwahi kuona wapi???
A series ni Simu za Hovyo. Hicho ndicho ninachofahamu sasa kama hamtaki its better mkapotezea tu kuliko kunilazimisha niamini mnachotaka nyie. Alafu kuwa Broke ni Mindset pia.
 
Hapana,hatuwezi ignore na unapotosha uma.

Hili ni jukwaa linaloheshimika mkuu.
Nampotosha nani? Tatizo hampendi kusikia tofauti na mnavyoamini. Tatizo lingine humu kwamba kitu mkikisifia nyie wengine hawapaswi kukosoa
 
Hakuna sehemu milango ya kukosoa imefungwa ila unapaswa kukosoa kwa maelezo ya kiufundi ili tusiojua utufumbue, na sio kukosoa kwa maneno "ni simu za hovyo"
Wewe jamaa kumbe unaipenda ligi kimya kimya, kaa kimya usijibu lolote tena ndiyo tutajua umejitoa kwenye ligi, ila ukijibu tutakujibu tu.
Sisi tunaamini kwenye Specifications tu na sio bei.
 
Kweli inabidi alete maelezo ya kiufundi kuwa hizi simu za A series zinamapungufu yapi na yapi sio anasema za hovyo tu bila kutolea maelezo
 
Hakuna sehemu milango ya kukosoa imefungwa ila unapaswa kukosoa kwa maelezo ya kiufundi ili tusiojua utufumbue, na sio kukosoa kwa maneno "ni simu za hovyo"
Wewe jamaa kumbe unaipenda ligi kimya kimya, kaa kimya usijibu lolote tena ndiyo tutajua umejitoa kwenye ligi, ila ukijibu tutakujibu tu.
Sisi tunaamini kwenye Specifications tu na sio bei.
Kila mmoja wetu abaki na mtizamo wake. Kila mtu yupo huru kuwaza anavyowaza alimradi havunji sheria.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom