Oppo Reno 5 wadau mna mtazamo gani juu ya hii simu.

Shida yako wewe na wenzio ni ujuaji. Mimi natumia simu simu hainitumii mimi. Sina muda wa kupoteza na uchambuzi wako wa Specs za Simu. Mimi nimekwambia A Series kwangu mimi naona ni simu za Hovyo lkn wewe unanilazimisha nizikubali, why? Hata Magari sio kila mtu anapenda BMW na sio lazima yaani.
Kwani mkuu unatumia simu gani? Maana huu mjadala wenu nmebaki 😂😂😂
 
Usikumbushe maumivu Mkuu enhe Nilikuwa na Samsung A21s nimeitumia miezi 3 tu, ika-stuck; yaani huwezi kufanya chochote hata kuizima, labda iishe batery. Kuwapelekea wataalam nikaambiwa 'mashine imefeli'. Niko na Mchina mwenyewe VIVO napeta tu. Ila Oppo ni simu nzuri sana.
Kwanini hujairudisha Samsung? Na simu ina warranty ya miaka 2?
 
Wataalamu wa technologia kuna simu inaitwa Oppo Reno 5 ninetokea kuipenda sana japo.sijawahi kutumia simu za aina ya Oppo.

Kwa muda huu natumia Samsung galaxy a50 lengo langu nataka nipate simu itakayokuwa bora zaidi ya hii nnayo itumia ndio nikatokea kuiona hiyo Oppo.

Naombeni mnisaidia jee mnaionaje? Inaweza ikapambana au kuizidi samsung galaxy a80? Please naombeni msaada tafadhali.
Oppo ni next level. Mimi Nina oppo A9 2020
 
Umaelewa nini maana ya Mtazamo wa Mtu. I Phone ni simu mbaya? Lakini mbona sio wote wanaozikubali? Mimi nishasema A series zote kwa mtazamo wangu sijazipenda sasa nyinyi mnataka kunilazimisha nizipende Shida yenu nini?
Kumbe shida yako ni kwamba unazichukia A series,kama wengine wanacyozichukia tecno,infinix na apple.

Lakini chuki yake haizifanyi hizo simu kuwa mbovu.

Unasema umetumia A52,ni simu huipendi kwa sababu zako tu,ila kusema ni simu mbaya generally ni kutafuta ligi tu humu.
 
ila ww jamaa unapewa facts bado huelewi Samsung A series ni nzuri kwanzia a80 + a51 ila chini ya hapo n majanga
Wala sio kweli kwamba kuanzia a80 ndio misumari.

ASeries vimeo toka zianze kutoka ni a10,10s,20s,a02,a11,30 na a30s ina nafuu,halafu uafadhali unaanzia hapo kwenda juu.
 
Kumbe shida yako ni kwamba unazichukia A series,kama wengine wanacyozichukia tecno,infinix na apple.

Lakini chuki yake haizifanyi hizo simu kuwa mbovu.

Unasema umetumia A52,ni simu huipendi kwa sababu zako tu,ila kusema ni simu mbaya generally ni kutafuta ligi tu humu.
Mnaotaka Ligi ni nyie,ilikuwa vizuri mngeniignore tuu. A series ni Simu za hovyo kwa experience yangu. PERIOD
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom