Weekend hii ulikuwa unatimia mwaka mmoja tangu kuanza kwa operesheni ya kuifuta Ccm katika jimbo la Karagwe. Operesheni hii ilkuwa na lengo la kufikisha chama kila kitongoji iliyoungana na program ya Chadema ni msingi. Imejengwa misingi 374, Matawi 68 na kukusanya kadi za Ccm 3057, Cuf 91, TLP 57 na UDP 1, kuunda vikundi vya akina mama katika kata 9. Operesheni imekomba wenyeviti wa vitongoji 9 ingawa serikali haikubali kuitisha uchaguzi mpya.
Kwa mwaka mzima ilipigwa wastani wa mikutano mitatu kila weekend na kufanya jumla ya mikutano 157 iliyoingia vitongoji vyote vya jimbo la Karagwe isipokuwa baadhi ya vitongoji vya kata za Rugu, Nyaishozi, Ihembe na Nyakasimbi ambako umeendaliwa mkakati maalumu wa kuingia kata hizo, unaoakwenda sambamba na mkakati mpya wa lengo la kushinda asilimia 50 ya vitongoji ,vijiji na mitaa katika uchaguzi wa mwaka huu.
Kazi hii imefanyika kwa wafuasi kujitolea kwa fedha zao kuwezesha usafiri na mambo mengine. Hivi karibuni chama kitatangaza kununua vyombo vya matangazo baada ya kada mmoja kujitolea kununua vyombo hivyo baada ya kuridhishwa na kazi inayopigwa na makamanda. Baada ya tathimini itatangazwa operesheni kabambe itakayoenda non stop hadi 2015.
Peoples ..................!