Operesheni tokomeza Ukahaba!

Operesheni tokomeza Ukahaba!

Umezungumza kama mbumbumbu mkuu. Kahaba ni binadamu kama alivyo fisadi, na wote hawa wana haki zao kama binadamu. Halafu jina la kahaba lisikutishe, kama umewahi kuingia nyumba za wageni na mwanamke asiye mkeo unaangukia pia kwenye kundi hili. Na kuonesha kwamba vita hii ni mwendelezo wa kukurupuka kama ile ya ushoga, nakuhakikishia haitachukia miezi mitatu tutakuwa tumesahau kwamba kulikuwa na operesheni ya kutokomeza ukahaba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unafikiri huyo Mkuu wa wilaya anayo guts ya kurudia udhalilishaji Wake Tena, apambane na kesi ya udhalilishaji aliyoitafuta
 
Back
Top Bottom