Operesheni tokomeza CCM bado inaendelea Hanang

Operesheni tokomeza CCM bado inaendelea Hanang

olevaroya

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2012
Posts
1,224
Reaction score
512
Makamanda tuko Hanang na siku ya Leo tumefanikiwa kufanya mikutano miwili kata ya Giting na kata ya Masikaroda na tumefanikiwa kupata wanachama wa ya waliorudisha kadi za CCM na kukabidhiwa kadi za CHADEMA,wanachama wapatao mia 300,mapambano bado yanaendelea mzidi kutuombea,muwe tayari wakati unaofaa na wakati usifaa,,
 
Aluta continue makamanda wetu,Mungu yupo nanyi daima...
 
ni habari njema kabisa kuwahi kutokea ktk nchi yetu hii
 
kazi moja, ushindi daima, songa mbele, mbele kwa mbele
 
Ngugi wa thiongo once said "the strongest man is the one who stands in his own feet" and this is what is happening to chadema-i love you my only party.

  • A%20S-confused1.gif



  • :tinfoil3:
 
Back
Top Bottom