Jasho la Damu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 956
- 120
Wasalaam Wanajf
Kwa kuwa JF sasa imekuwa ndio Taa huru pekee ya kumulika viongozi wa serikali na kijamii ndani na nje ya mipaka ya taifa la Tanzania.
Napenda Kuchukua fursa hii kukaribisha maoni na habari zinazohusu utendaji kazi wa serikali za mitaa na halmashauri za wilaya hasa ukizingatia kuna madudu mengi yanayofanyika katika halmashauri zetu za wilaya nasi tumekuwa tukiyafumbia macho na kudeal na Serikali kuu tu turudi pia kwenye halmashauri zetu. natumai kupata positive co-operation kutoka kwenu.
mimi mmasai kama alivyo lowasa na wamasai wengine.wewe ni nani mpaka unataka haya??
Ni kweli mkuu lkn kwa wakati huu tunapambana Serikali kuu tunaacha mamilioni ya fedha yanaliwa na halmasSerikali za mitaa ni sehemu ya serikali,ni mtumwa wa serikali kuu na inawajibika kwa serikali kuu,sasa tusideal sana na serikali za mitaa cha msingi tudeal na malords wao huko juu,haiwezekana chini pakawa safi kama juu pana longolongo lakini inawezekana chini pakawa safi kama juu pako safi,as the matter of fact local authorities in Tz reflect its boss which is "legelego"
Mi mmasai bana, nasema mi mmsaiTamaduni yenye nguvu iliyobaki Afrika.Lowassa bana si mmasai ni mmeru ambaye jamii yake ilihamia monduli siku nyingi, pamoja kukulia ktk tamaduni za kimasai Lowassa bado ni OLMEKIII au chasaka ka wachaga wanavyosemamimi mmasai kama alivyo lowasa na wamasai wengine.
Ha ha haa ila OLMEKII mwenyewe.Mi mmasai bana, nasema mi mmsaiTamaduni yenye nguvu iliyobaki Afrika.Lowassa bana si mmasai ni mmeru ambaye jamii yake ilihamia monduli siku nyingi, pamoja kukulia ktk tamaduni za kimasai Lowassa bado ni OLMEKIII au chasaka ka wachaga wanavyosema
Haina tija kwenu ninyi MagambaThread haina tija